Vitambulisho vya wamachinga zengwe limeanza

Hii na ile ya nahodha wa kivuko aliyepenyezewa chai kwenye tundu ambalo sauti haipiti vimenifungia mwaka. Next year nitajifunza Kiyunani, pengine nitaelewa malaika wakisema nami
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii ilinipita sikuisikia, chai sehemu sauti haipiti????.
Tanzania ya wajuaji hii. Bado tu kutest silaha za beelia soon
 
Nadhani alikusudia kusema wenye mauzo yasiozidi 4 mil kwa mwaka na si mtaji usiozidi 4 mil kwa mwaka. Maana hata kwenye sheria za kodi ya TRA, mfanyabiashara mwenye mzunguko usiozidi 4 mil kwa mwaka hatakiwi kulipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…