Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Kwa sasa mchakato wa vitambulisho vya taifa uko mkoani Morogoro. ila nina maswali kiasi juu ya huu mchakato.
- Mimi nlijisajili tegeta ila kwa sasa maisha yangu ni mkoani Dodoma, je nijisajili tena?
- je kuna tofauti gani kati ya vitambulisho vya taifa na kitambulisho cha mpiga kura(kiutendaji)
- Wanapotangaza wanasema usipokuwa nacho unahesabiwa sio raia, je watanirudisha nchi gani kama mimi sio raia(nimeanza kujua mitaa ya marekani ili wakinikamata naenda U.S.A uzuri english yangu inanibeba)
- Hivi huu mchakat ulipata mawazo au ushauri kutoka kwa wasomi au ndo kupeana ridhiki mtoto wa baba na mjomba.?