Vitambulisho vya taifa

WOWOWO

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
599
Reaction score
457
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi ujao.

Imesema kuwa uzinduzi wa kutoa vitambulisho hivyo ulikuwa ufanyike jana katika maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini ilishindikana kutokana na shughuli nyingi na ukubwa wa tukio hilo.

Ofisa Habari wa NIDA, Rose Mdami alisema uzinduzi huo unatarajiwa kufanywa na Rais Jakaya Kikwete ambapo wiki ijayo watazungumza na waandishi wa habari na kuelezea utaratibu mzima utakavyokuwa.

Source;

HabariLeo | Vitambulisho vya Taifa vyakamilika
 
Niliukuza na wanzanibari nao watapewa maana hawautaki muungano
 
Vitambulisho kuwa na moja ya nembo za freemasons
 
Muhimu kutambua alama za pinga kristo hili usiingie humo,ma-rais wengi ni mafreemason so ni rahisi kupenyeza ufrimason kwa wanaanchi wake.
To me is preparation of the mark of the beast! I mean 666!!
 
Ningependa kuona mahesabu ya sheghuli hii ktk ripoti ya CAG 2012/2013
 
mmh mi nna wasiwasi na hizo habari za kutoa vitambulisho mwezi ujao mi toka nimejaza fomu mwezi wa kwanza wakasema watarudi kuchukua finga print na picha hawajarudi tena sasa vitatoka kwa style gani? hizo ni ngonjera tu ngoja tuone kama wameanza kuwa wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…