Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Cna boss nduguBosi wako mwaimu kashachiwa au bado
Baba yako hana Baba?Asante Kwa taarifa.
Mimi nina tatizo moja tu na NIDA, iko hivi.
Binafsi nina majina mawili tu, yaani " Computer Billionaire"
Sasa, NIDA wananilazimaisha niongeze jina la tatu eti NIDA hawakubali majina mawili.
Japo, mimi vyeti vyangu vya shule na vitambulisho vina majina mawili tu.
Naomba msaada, nifanyeje maana naona kitambulisho hicho ni kama kitakuwa hakina maana kabisa Kwa kutofautiana na vyeti na vitambulisho vyangu vingine!?
Pia, NIDA wamekataa kuniandikisha kwa hayo majina yangu mawili kwa kudai kuwa NIDA haikubali majina mawili yaani wanakubali majina matatu na kuendelea.
Ni kijana huko Tanzania analalamika hivyo sasa kwa niaba yake anaomba Jibu.
JF plz, Yeyote mwenye msaada Kwa swali hili anisaidie namna ya kutatua jambo hili.
Asante.
Baba yako hana Baba?
Kama anachet cha kuzaliwa apeleke pia nakala zake zote mfano vyeti pia na hizo id nyngne apeleke nakala. Then jina lake la kwanza,pili jina la pili la baba, tatu jina la ukoo bila hivyo hasaidiki coz majina hayo matatu ni muhimu kuyapeleka... Sidhani kama kuna mtu hana hayo majina matatu... Akipeleka chet cha kuzaliwa itarahisisha apewe huduma harakaAsante Kwa taarifa.
Mimi nina tatizo moja tu na NIDA, iko hivi.
Binafsi nina majina mawili tu, yaani " Computer Billionaire"
Sasa, NIDA wananilazimaisha niongeze jina la tatu eti NIDA hawakubali majina mawili.
Japo, mimi vyeti vyangu vya shule na vitambulisho vina majina mawili tu.
Naomba msaada, nifanyeje maana naona kitambulisho hicho ni kama kitakuwa hakina maana kabisa Kwa kutofautiana na vyeti na vitambulisho vyangu vingine!?
Pia, NIDA wamekataa kuniandikisha kwa hayo majina yangu mawili kwa kudai kuwa NIDA haikubali majina mawili yaani wanakubali majina matatu na kuendelea.
Ni kijana huko Tanzania analalamika hivyo sasa kwa niaba yake anaomba Jibu.
Asante.
Hiyo haina shida kwa kila copy unaandika kiapo mimi pia vyet vya shule vina majina mawili but haihusiani na hii labda viwe na majina tofauti like huku unaitwa juma alafu unataka uandike aisha hiyo ni kuharibu.. Pil index number hazifanan na za mwngne so wor notAnaye mkuu.
Sasa tatizo hapo ni kuwa kitambulisho kitakuwa tofauti na vingine vyote nilivyo navyo kwa sasa.
Kama anachet cha kuzaliwa apeleke pia nakala zake zote mfano vyeti pia na hizo id nyngne apeleke nakala. Then jina lake la kwanza,pili jina la pili la baba, tatu jina la ukoo bila hivyo hasaidiki coz majina hayo matatu ni muhimu kuyapeleka... Sidhani kama kuna mtu hana hayo majina matatu... Akipeleka chet cha kuzaliwa itarahisisha apewe huduma haraka
Hiyo haina shida kwa kila copy unaandika kiapo mimi pia vyet vya shule vina majina mawili but haihusiani na hii labda viwe na majina tofauti like huku unaitwa juma alafu unataka uandike aisha hiyo ni kuharibu.. Pil index number hazifanan na za mwngne so wor not
Hapana coz ni kosa lililofanyika zaman so swala n index number kama vinatumika na watu wawil ww n fek rafikAsante.
Sasa mfano, siku nikiombwa Cheti cha NIDA na vingine si itaonekana Niko na majina tofauti!?
Mfano, vyeti vya shule ni majina mawili tu Computer Billionaire
Sasa NIDA yakiwa matatu si wanaweza niweka kwenye vyeti feki au incomplete, mkuu!?
Sasa NIDA wanataka yawe hivi "Computer Cash Billioner"
Asante
Wa kwanza itakua ww.Nyie tusumbueni tu mkimaliza mje mhakiki na jinsia zetu
Nipo tayariWa kwanza itakua ww.
Mimi sio mwiz wala jambaz au tapel why nijifiche!?Ficha id yako....mbona ume ji expose hivi
So mtu ukieleza kitu ni unatafuta sifa au!?Asante kaimu mkurugenzi wa NIDA