Vitambulisho vya Taifa vyakamilika!

faida zake
1. kupigia kura,hapo ukishapiga hakuna jurudia kituo kingine hivyo hakuna haja ya kujichafua kwa wino

2. wanaotumia vyeti vya ndugu zao itakula kwao, kila mtu atasajiliwa na documents zake, hivyo document hazitasajiliwa mara 2 kwa watu 2 tofauti, watu kibao wataachishwakazi kwa kutumia vyeti visivyo vyao, sijui kama mbunge wangu atapona.

tuendelee kuweka faida zingine ............................
 

Hiki kitambulisho cha uraia kinaweza kutumika vipi katika kupigia kura?
 
je vitazingatia umri kwa wale ambao ni chini ya miaka 18?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…