Vitambulisho vya Taifa vyakamilika!

ni lazima.
kila huduma by that time itakuhitaji kuwa na Kitanbulisho,,,kama Wakenya wameanza kitambo sana na mambo haya.

Inamaana hata nikitaka kwenda chooni nitatakiwa niwe na hiki kitambulisho?
 
Ukiwa mgeni Kitambulisho chako kinakuwa hivi (Permanent Residence)

 
Pasipoti, leseni ya udereva, kitambulisho cha kura, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha kazi, na sasa kitambulisho cha taifa. Vyooote hivi vinamtambua tu mmoja!

Je kwa hicho kipya cha kitaifa kitakuwa ni muungano wa vyooooote au tena utalazimika kubeba vitambulisho vingine?
 
Na huu Muungano wenye pending issues itakuwaje?hao wanaotaka kujitoa watapewa vitambulisho vya wapi?
 
Bureaucracy at its best...ilitakiwa mambo yote yawe katika ID moja.
 
apologies in advance

the drive behind this ilikua ni ile procurement contract zaidi
 

Kuna ulazima pia wa kuwa na hivyo vitambulisho vingine maana kila kitambulisho kina kazii yake. Sasa kama nikitumia kitambulisho cha taifa ofisini unadhani ni nani atakaye nitambua kuwa nafanya kazi katika kampuni husika?
 

Kuna watu hawana passport,drivers license,kitambulisho cha kura wala kitambulisho cha kazi,National ID itawasaidia
 
Tusubirie kusikia ubadhilivu utakaokuwa umefanywa ktk uandaaji wa hivi vitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…