Vitambulisho vya taifa sasa vitakuwa na saini ya mhusika

kilokiki

JF-Expert Member
May 3, 2016
1,376
2,841
IMG-20160701-WA0000.jpg
NIDA imesalimu Amri na kufata maamuzi ya mkuu wa nchi ya kutaka vitambulisho vya taifa viwe na sahihi ya muhusika.
Ktk maonesho ya sabasaba huu ni muonekano mpya wa kitambulisho kitakavyokuwa
 
Hii inamaana kuwa kama cha mkuu kimebadilishwa itabidi vya watanzania wote waliopata nao vibadilishwe ili viwe na sahihi
 
haha kwanini huyu maimu na yeye asishitakiwe hizi pesa zoote alizopoteza zitalipwa na nani maana kajilimbikizia nani atalipa anyanganywe mali zake
 
Huyo wa kushoto miguu kama wale wa kuleeeeeeeeeeee..... Kitambulisho kimetimia kila idara hicho.
oy wacha habari hizo ndugu.........................zinamuhusu muumba asee kuna wale hawana kabisaa wanajiburuza hapo chini kwa matako msiwe na akili za hivi ...u ruin ma day halafu unaonyesha ni mtu mzima y unaandika miandiko ya wavulana wa u dom mapema na asubuhi hii ?shame on u
 
haha kwanini huyu maimu na yeye asishitakiwe hizi pesa zoote alizopoteza zitalipwa na nani maana kajilimbikizia nani atalipa anyanganywe mali zake
Mkuu ashitakiwe kwa lipi?
Kama ni kutoweka sahihi ilibarikiwa na wizara na mkuu wa nchi.
Kuna wengine wanalalamika hakioneshi mkoa, wilaya na kijiji cha muhusika alipozaliwa. Kumbe vipo apo juu sema mfumo umekuwa mgeni kwa watanzania
 
Ni kibaya!! Wasisahau kufuta expire date na kukifanya kiwe na magnetic reader
Kina cheap bado ndani yake ndio maana kabla ya kupewa kinawekwa kwenye reader kikisoma na kuonyesha taarifa zako ndio unapewa
 
Ok. Ila kile cha awali ninacho hata huwa hakioneshi hiyo dalili, afu hiyo mirangi yao inafutika fasta sijui ni feki?
 
Mkuu labda cha kwako ulipewa kwa bahati mbaya kilipita bila kuchunguzwa kwani huwa vinawekwa lamination mbele na Nyumba ya kitambulisho ili kuzuia taarifa zisifute
 
Nimaajabu ya Tz peekee,kitambulisho kama hakina sahihi maana ya kitambulisho inakuwa wapi?kitambulisho cha mtendaji kinayo sasahihi,itakuwa cha taifa watu wazima hovyo.!
 
Vyote vipo hivo, inshort walibezi kupiga hela tu siyo kuja na brand ya value for Money. ID ya Taifa inazidiwa na ATM card za CRDB!!
 
haha kwanini huyu maimu na yeye asishitakiwe hizi pesa zoote alizopoteza zitalipwa na nani maana kajilimbikizia nani atalipa anyanganywe mali zake
Ashtakiwe kwa vipi? Wakati inadaiwa fedha alizikabidhi kwa '' wenyewe".

Je wenyewe ni nani?
 
Nimaajabu ya Tz peekee,kitambulisho kama hakina sahihi maana ya kitambulisho inakuwa wapi?kitambulisho cha mtendaji kinayo sasahihi,itakuwa cha taifa watu wazima hovyo.!
Kitambulisho uchwara.
 
oy wacha habari hizo ndugu.........................zinamuhusu muumba asee kuna wale hawana kabisaa wanajiburuza hapo chini kwa matako msiwe na akili za hivi ...u ruin ma day halafu unaonyesha ni mtu mzima y unaandika miandiko ya wavulana wa u dom mapema na asubuhi hii ?shame on u
Easy... easy! Just funny and humourous! Wakati mwingine tafsiri haiwi sahihi sana.
 
Back
Top Bottom