Ni majuzi tuu muheshimiwa rais alitusaidia na kuja na mjadala wa vitambulisho kwa ajili ya wafanya biashara ambao mtaji wao ni chini ya mil.4 mimi nasumbuliwa na halimashauri na hawa afisa biashara wanaozunguka kukagua leseni..na wanafunga maduka pasipo utartbu mtu anakuja anakufungia duka anasema ni afisa biashara..na hana buthbtisho wowote unaonyesha au kibali kinachoonyesha kuwa amepewa malaka yakuja kunifungia duka.mimi duka langu ni mtaj chini ya ml.4 na je inakuje nafungiwa duka langu wakti nipo kwenye process nafutlia kitambulisho nimewambia wanasema mimi cruhusiwi kuwa na kitambulisho natakiwa kuwa na leseni inakuje waje wanifungie?nipo dar es slamu muheshiwa rais naomba msaada wako inakuje nafungiwa duka pasipo utaratbu nafutlia kitambulisho mtu anakuja kunifungia..namwambia anasema nimepanga fremu cwez kutumia kitambulisho ..
Sent using
Jamii Forums mobile app