dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,778
Wameru naskia Mnapenda sana kesi. Upo tayari uuze Ng'ombe kwa kesi ya kuku. Jifunze kurahisha vitu punguza ComplicationJana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini baada ya kuulizwa maswali hayo na afsa wabank ya crdb chamwino branch
Kila alicho niuliza hakikuwa sahih ,ndipo aliponielekeza kuwa niende ofisi za nida kwenda kuchukuwa majibu sahih kutokana na alicho niandikia
Nilifika pale nikakutana na foleni kubwa snaa nao kumbe wanatatizo kama langu
Baadae nikapewa majibu yangu
Ambapo niliandikiwa majibu ya ajabu sna kuanzia wilaya niliozaliwa na shule nilizo Soma hakna ajabu hkna hata moja wamepatia
Wakt nakumbuka kipindi najazza maelezo ya fomu nilijaza kwa usahih mkubwa leo nakuja kuambiwa mm nimesoma leguruki na nimeszaliwa longido wakt nimezaliwa Arusha dc
Majibu ya ajabu sna na mbaya Zaid ukitaka urekebishe taarifa inakupaza kulipia elf 20 warekebishe
Nida Ni utapeli mkubwaa sna na nitawapeleka mahakamani Hili silinyamazii wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo
Nimecheka kwa nguvu kama mazuri. Nyama za sambusa niliokuwa naila zimesambaratika mezani. Aisee.Wameru naskia Mnapenda sana kesi. Upo tayari uuze Ng'ombe kwa kesi ya kuku. Jifunze kurahisha vitu punguza Complication
Pole Daktari.🤦🏾♂️Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini baada ya kuulizwa maswali hayo na afsa wabank ya crdb chamwino branch
Kila alicho niuliza hakikuwa sahih ,ndipo aliponielekeza kuwa niende ofisi za nida kwenda kuchukuwa majibu sahih kutokana na alicho niandikia
Nilifika pale nikakutana na foleni kubwa snaa nao kumbe wanatatizo kama langu
Baadae nikapewa majibu yangu
Ambapo niliandikiwa majibu ya ajabu sna kuanzia wilaya niliozaliwa na shule nilizo Soma hakna ajabu hkna hata moja wamepatia
Wakt nakumbuka kipindi najazza maelezo ya fomu nilijaza kwa usahih mkubwa leo nakuja kuambiwa mm nimesoma leguruki na nimeszaliwa longido wakt nimezaliwa Arusha dc
Majibu ya ajabu sna na mbaya Zaid ukitaka urekebishe taarifa inakupaza kulipia elf 20 warekebishe
Nida Ni utapeli mkubwaa sna na nitawapeleka mahakamani Hili silinyamazii wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo
Je Peter Madeleka yupo humu?wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo
Inawezekana wanafanya makusudi ili kuvuna hizo elfu 20 za wananchi, kurekebisha taarifa iwe bure uone kama watathubutu kukosea.Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini baada ya kuulizwa maswali hayo na afsa wabank ya crdb chamwino branch
Kila alicho niuliza hakikuwa sahih ,ndipo aliponielekeza kuwa niende ofisi za nida kwenda kuchukuwa majibu sahih kutokana na alicho niandikia
Nilifika pale nikakutana na foleni kubwa snaa nao kumbe wanatatizo kama langu
Baadae nikapewa majibu yangu
Ambapo niliandikiwa majibu ya ajabu sna kuanzia wilaya niliozaliwa na shule nilizo Soma hakna ajabu hkna hata moja wamepatia
Wakt nakumbuka kipindi najazza maelezo ya fomu nilijaza kwa usahih mkubwa leo nakuja kuambiwa mm nimesoma leguruki na nimeszaliwa longido wakt nimezaliwa Arusha dc
Majibu ya ajabu sna na mbaya Zaid ukitaka urekebishe taarifa inakupaza kulipia elf 20 warekebishe
Nida Ni utapeli mkubwaa sna na nitawapeleka mahakamani Hili silinyamazii wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo
Mm siyo mmeru shwaeniWameru naskia Mnapenda sana kesi. Upo tayari uuze Ng'ombe kwa kesi ya kuku. Jifunze kurahisha vitu punguza Complication
Kwa Kweli wafanye hvyoWanafanya maksudi ili wavune hizo elfu 20 za raia, huu ni wizi unaofanywa na hao wafanyakazi wa NIDA kama kweli sio wizi waondoe hiyo elfu 20 uone kama hawatakuwa makini kwenye kusajili taarifa.
Sahih utapeliInawezekana wanafanya makusudi ili kuvuna hizo elfu 20 za wananchi, kurekebisha taarifa iwe bure uone kama watathubutu kukosea.
Nchi la kitapeli hili viongozi wa juu matapeli unategemea nini.
Matapeli waleMata😂bora na wewe .Mabosi wako huku watakuja
VisahihisheJana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini baada ya kuulizwa maswali hayo na afsa wabank ya crdb chamwino branch
Kila alicho niuliza hakikuwa sahih ,ndipo aliponielekeza kuwa niende ofisi za nida kwenda kuchukuwa majibu sahih kutokana na alicho niandikia
Nilifika pale nikakutana na foleni kubwa snaa nao kumbe wanatatizo kama langu
Baadae nikapewa majibu yangu
Ambapo niliandikiwa majibu ya ajabu sna kuanzia wilaya niliozaliwa na shule nilizo Soma hakna ajabu hkna hata moja wamepatia
Wakt nakumbuka kipindi najazza maelezo ya fomu nilijaza kwa usahih mkubwa leo nakuja kuambiwa mm nimesoma leguruki na nimeszaliwa longido wakt nimezaliwa Arusha dc
Majibu ya ajabu sna na mbaya Zaid ukitaka urekebishe taarifa inakupaza kulipia elf 20 warekebishe
Nida Ni utapeli mkubwaa sna na nitawapeleka mahakamani Hili silinyamazii wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo
Yuko x zamanin TwitterJe Peter Madeleka yupo humu?
Ngoja wapige kwa urefu wa kamba zao. Wamedokezwa hivoWanafanya maksudi ili wavune hizo elfu 20 za raia, huu ni wizi unaofanywa na hao wafanyakazi wa NIDA kama kweli sio wizi waondoe hiyo elfu 20 uone kama hawatakuwa makini kwenye kusajili taarifa.