Kwanza inawezekana wewe ndo umesaidia hili kulingana na mrejesho wa bujibuji hapo juu. Na kama jamaa ni mkewe atumie ustaarab wa kukuomba kama inawezekana uedit hizo picha si vinginevyo kwa sababu kwa maelezo yako umezikuta facebook hivyo hata kama zikiondolewa humu bado mwenye nia ovu aweza zipata facebook.