Vitambulisho vimeokotwa Gairo

Wife amefata nini Gairo? Siamini macho yangu Mana ameniaga anaenda Kilimanjaro
 
kwani vitambulisho vya kupigia kura/uraia mara vya uanachama vinalipiaga nn mkuu au mm mshamba[emoji23] [emoji23]
Atleast leseni kama una gari ....
ila mm sionagi umuhimu kujaza mavitambulisho yanayofanana kazi.
 
aaaah kasie we wantoa mate mwenzio
 
kwani vitambulisho vya kupigia kura/uraia mara vya uanachama vinalipiaga nn mkuu au mm mshamba[emoji23] [emoji23]
Atleast leseni kama una gari ....
ila mm sionagi umuhimu kujaza mavitambulisho yanayofanana kazi.

Kupanga ni kuchagua wewe huoni haja ila wengine asili yetu ni kubeba mizigo mizito nasikiaga rahaa tuu kubeba mzigo kila niendako.
 
Kupanga ni kuchagua wewe huoni haja ila wengine asili yetu ni kubeba mizigo mizito nasikiaga rahaa tuu kubeba mzigo kila niendako.
kubeba mizigo Ni asili yenu kasie mnyamwezi,hata zenji wana msemo MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI
 
Nilidondosha yangu harusini didia Shinyanga IPhone nikatangaza harusin dau 50,000 hamna aliejitokeza nikarud kwetu sim imezimwa kidogo nilie asubuh napiga ikaita nikaitiwa sim kwamba imewashinda kila kitu nikaenda kuifata wakanambia niwape 30,000 nikawaambia msinge niita hapa nna 5000 wakagoma nikawapa 20,000 through mpesa nikasepa na sim yangu njiani nikapiga voda wkanirudishia jamaa wakapata 0 iPhone raha
 
Kupanga ni kuchagua wewe huoni haja ila wengine asili yetu ni kubeba mizigo mizito nasikiaga rahaa tuu kubeba mzigo kila niendako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jmn
mm sikuingine naandika jina langu kwenye karatasi ..naweka kwa handbag nikidondoka watajua jina langu ,nmavoona uvivu kubeba mizigo ya dizaini hio..
maana nilibiwa kitambulisho changu na kila kilichomo kwa handbag sirudii tena halafu ni vitu vya msingi
 
kama wamfahamu mhusika,wasiliana kwa namba +255713563655
Ungeandika jina tu bila kuanika picha za vitambulisho ndio ingekuwa busara. Ila hapa umefanya ujinga. Unajua maana ya identity theft? Watanzania tubadilike na tutumie bonge zetu
 
Ungeandika jina tu bila kuanika picha za vitambulisho ndio ingekuwa busara. Ila hapa umefanya ujinga. Unajua maana ya identity theft? Watanzania tubadilike na tutumie bonge zetu
Samahani mkuu kwa kufanya ujinga,next time nitajirekebisha kwa hilo.
 

Yeah you are right .......

They used to say the world is round, but I have my own quote, the world is triangle and we all can't be in one angle, life is to choose which angle to survive.......

Kasie Maquote. ....
 

Hongera kuipata simu yako salama.
 
Samahani mkuu kwa kufanya ujinga,next time nitajirekebisha kwa hilo.
Bado una nafasi ya kurekebisha sasa hivi. Edit uondoe picha uache jina tu. Kwa hakika jina linatosha kumfanya atambulike bila picha. Unaona sasa wachangiaji wengine wanaanza kuandika maneno ya hovyo kwa ajili ya picha. Na kuna wanaoweza kukopi vitambulisho na kutengeneza feki na wakafanya utapeli kwa kuvitumia,
 
Mbona kama vile unanipelekesha,sifanyi lolote ulilonambia! Acha ibaki hivo hivo itapendeza zaidi[emoji23] [emoji23]
 
Mbona kama vile unanipelekesha,sifanyi lolote ulilonambia! Acha ibaki hivo hivo itapendeza zaidi[emoji23] [emoji23]


Mkuu kuweka na picha ndio sahihi zaidi wala asikupe taabu huyo mzushi. Mtu amepoteza vitambulisho alafu wewe uandike jina bila kuonesha hivyo vitambulisho hiyo itakuwa habari au ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…