Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,631
Mchezo wa kununua kadi ni mbinu ya siku nyingi ya chama tawala,bilashaka ndio wahusika wakuu
Wanazinunua ili kupunguza kura za mpinzani make MTU akishauza kadi anakuwa ameuza haki take ya kupiga kura,ukichukulia hali ilivyo mbaya kwa maccm mkoa wa kagera,wanalazimika kupunguza kura za ukawa kwa mbinu I,watu wawe making hawa jamaa wanaosomba mania ya watu kwa malori wanaweza pia kununua watuZikisha nunuliwa zinafanywaje kwani?Mm huwa sielewe hii sanaa mana sioni km ni sayansi.Kadi ya mpga kuru itakaguliwa na kuhakikisha sura ıliyo kwenye kitambulısho na mpga kura mwenyewe.
Hivi hawa CCM wamelogwa nini, hawa ni mabingwa wa michezo yote michafu kuanzia rushwa, ufisadi na hata wizi wa kura kweny chaguzi mbalimbali, hivi huwa hawajisikii aibu chama chao kinapopigiwa kelele kwa mambo machafu wanayofanya? Hebu jirudini muwe waungwana tuendeshe za siasa kiustaarabu. Kwanini hamtaki kukubali kushindwa?Hizi ni taarifa ambazo zimethibitishwa na naibu mkuu wa takukuru mkoa wa kagera John joseph
Kadi hizi zilikuwa zinanunuliwa kati ya sh 5000 hadi 10000,taarifa za kuwepo kwa njama zilitolewa na kijana mmoja ambaye hakuafiki kadi yake kununuliwa
KUHUSU VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA KUKAMATWA KAGERA
Vitambulisho 134 vya Kupigia kura, vimekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU- mkoani Kagera baada ya kukutwa vimenunuliwa na Kundi la watu kutoka kwa wapiga kura.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Naibu mkuu wa Takukuru mkoani Kagera, John Joseph vitambulisho hivyo vimekamatwa vikiwa tayari vimenunuliwa kutoka kwa wananchi kwa bei ya kati ya shilingi 5,000 hadi 10,000.
Amesema kuwa kukamatwa kwa Vitambulisho hivyo, kumetokana na baadhi ya Vijana walioshawishiwa kuuza kadi hizo na kundi la watu wanaopita, kutoafiki na kisha kulazimishwa kufanya hivyo.
View attachment 294967
Yaani umekesha usiku na mchana na hadi kuumwa na mbu kwenye kitua cha kuandikishia halafu unauza shahada kwa Tsh. 5,000/=, hii ni dhahiri ujinga na elimu ndogo na umasikini wa watanzania ndio mtaji mkubwa wa CCM na ndio maana hawako tayari ndani ya nchi hii elimu iwe bora na Wataznania tujukwamue kiuchumi ili waendelee kufanya ujinga kama huu.
Zikisha nunuliwa zinafanywaje kwani?Mm huwa sielewe hii sanaa mana sioni km ni sayansi.Kadi ya mpga kuru itakaguliwa na kuhakikisha sura ıliyo kwenye kitambulısho na mpga kura mwenyewe.
Yupo Dada mmoja yuko rwamishenyi ndiye ananunua hizo kadi alishakamatwa na polisi halafu akaachiwa na akajitetea eti yeye anasajili line za simu kwahiyo wateja uziacha baadae uzirudia, wakati ni uongo, binachofahamu yeye amehakikishiwa usalama wake na mh.k eti kitakachotokea atasaidiamuvi wameitengeneza wenyewe
wamenunua wenyewe ili hao watu wasipige kura
jiulize vitaenda wapi baada ya hapo ?