Pongezi kwa JWTZ ambao wamemudu sana kuthibiti tatizo la vitambi kwa wanajeshi wake.
Najiuliza vipi majeshi mengine haswa POLISI?
Vitambi vimenawiri sana, kulikoni?
Majeshi yetu yanapaswa kuwa lean and nimble. Kwa vitambi hivi sidhana kama watamudu misukosuko mikali ya kijeshi.
Nimeacha kupandisha picha za mapolisi wetu niliokutana nao barabarani, lakini tatizo naona ni kubwa.