Vitabu hivi vinahitajika

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Hello wanajamvi habari zenu nyote.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa mwenye hivi vitabu kwa soft copy itapendeza sana kama ntavipata.

1. Mushi, E.G. (2014). Administrative Law in Tanzania. Mzumbe University

2. Chipeta, D. (2003). Administrative Law in Tanzania: Digest of cases. Dar Es Salaam. Mkuki na Nyota

Kwa mwenye soft copy za hivyo vitabu viwili ntamshukuru sana kama atashare humu.

Thanks in advance
 
Asante kiongozi kwa ushauri wako, ntajaribu kuufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…