Na sunnah ya kumsalia mtume ndio yenye thawabu!mwamba kajipendelea sana kwenye himaya yake maana kaoa zaidinya wake 9 ila yeye kawambia wa 4
Mmepigwa hapo allah alikua anafata momo anachotaka ndomana jipe homework kuwa neutral utaona sehemu nyingi momo alipokosea Aya inashuka kumtetea au kuweka ufafanuI kuficha kosa lakenakufundisha we binadamu mjawa kiburi na muabudu sanamu kuwa anaetunga sheria ni allah sio mtume kwa hiyo alieweka sheria ya wake 4 kwa sisi ni allah na alieweka sheria kuwa muhammad aoe wake 9 ni allah
Momo mwamba wakikureshi utume aliopewa kwa kubanwa na mtu asiyemjua hajawahi kutajwa popote kwenye biblia
Sisi tuliambiwa nabii asiyemkiri kristo na mafundisho ya kristo ni nabii wa uongokumtambua kuwa ni nabii haikuhitaji kutajwa kwenye biblia
ulipaswa kumuamini na kumtii ila sababu wewe ni mjawa kiburi unafanya unayoyafanya hapa kama kawaida ya waabudu sanamu
Mmepigwa hapo allah alikua anafata momo anachotaka ndomana jipe homework kuwa neutral utaona sehemu nyingi momo alipokosea Aya inashuka kumtetea au kuweka ufafanuI kuficha kosa lake
Sisi tuliambiwa nabii asiyemkiri kristo na mafundisho ya kristo ni nabii wa uongo
Yeah!...tawala nyingi za kale zilikuwa na hii mikasaHata kwenye agano la kale kuna stori kama hizi
Mila ya kikureshi ina kasoro sana ila fatilia mwenyewe usichukue tafsiri za wanazioni wanaharibu ujumbe na kuweka fafanuzi za uongoewe muabudu sanamu na adui wa allah hakujawahi kuwa na kasoro na hakutakuja kuwa na kasoro katika dini ya muhammad mkureshi
unajipiga mwenyewe na majini mafuasi ya ibilisi yanayokushauri moyo wako
najua hujui ila nakufundisha ewe muabudu sanamu kwamba majini yanampaga mawazo binadamu kitu hiko kwa kiislamu inaitwa waswasa
Bwana yule aliua Baba akamchukua Binti yake kinguvu akaoa Kaka akiwa yupo Cuba anachukua mafunzo ya kijeshi akaapa akirudi lazima ammalize Bwana yule kweli aliporudi target ilikua ni kwenda kummaliza Bwana yule na ikawa hivyo alimmaliza na yeye akamalizwa ndio ukawa
Kaka mtu aliporudi kutoka Cuba akiwa Mwanajeshi kamili aliefunzu mafunzo ya kijeshi Cuba akaenda kumfuata Bwana yule kwa hasira Bwana yule bila kujua hili wala lile akawa anacheza bao na wazee wenzie km ilivyokua desturi yake maana bao ndio ulikua mchezo wake pendwa basi Kaka mtu kwa hasira za Dada yake kuolewa kinguvu na Baba yake kufyekwa na Bwana yule alipofika pale hakuuliza mara 2 alinyoosha bunduki kumuelekea Bwana yule akapiga za kutosha Bwana yule pale pale umauti ukamkutamzee unaongea kwa code sana
ndioKaba ya wazungu tulikuwa tunauana sana.
mohamed hajawai kuwa kwenye biblia nwala Toratimbona allah anasema kuwa nyie wakristo na wayahudi mnamtambua mtume kama mnavyowatambua watoto wenu wa kiume?
kumtambua nabii haihitaji kuambiwa ni unaona wewe mwenyewe laivu kama wewe unavyomtambua mtume ila si una kiburi na wamtaka uadui allah azza wa jalla
Basi Kaka mtu akiwa Cuba kuchukua mafunzo hatari ya kijeshi na mbinu za kumkabiri adui akapokea taarifa kwamba huku nyumbani Dada yako kachukuliwa kinguvu na Bwana yule na Baba yako pia kafyekwa sababu alikua anasadifu Serikali ile iliyokua kabla, Kaka mtu akawakwa hasira na kuapa akirejea nyumbani Bwana yule hatomuacha aishi wenzie wakahisi anatania kumbe alikua kweli amedhamiria basi siku ya siku Kaka mtu akarudi Safari ikaanzia Dar usiku moja kwa moja akakwea Boti kwenda kumfuata Bwana yule huku Bwana yule akiwa hana hili wala lile kumbe yule Dada aliemchukua kinguvu Kaka yake anakuja akiwa tayari ameshakua mwanajeshi mwenye mafunzo hatari ya kijeshi 'Komandoo' kutoka Cubandio
Jaman aliyeelewa hapa anisaidieBasi Kaka mtu akiwa Cuba kuchukua mafunzo hatari ya kijeshi na mbinu za kumkabiri adui akapokea taarifa kwamba huku nyumbani Dada yako kachukuliwa kinguvu na Bwana yule na Baba yako pia kafyekwa sababu alikua anasadifu Serikali ile iliyokua kabla, Kaka mtu akawakwa hasira na kuapa akirejea nyumbani Bwana yule hatomuacha aishi wenzie wakahisi anatania kumbe alikua kweli amedhamiria basi siku ya siku Kaka mtu akarudi Safari ikaanzia Dar usiku moja kwa moja akakwea Boti kwenda kumfuata Bwana yule huku Bwana yule akiwa hana hili wala lile kumbe yule Dada aliemchukua kinguvu Kaka yake anakuja akiwa tayari ameshakua mwanajeshi mwenye mafunzo hatari ya kijeshi 'Komandoo' kutoka Cuba
Kaka mtu alipofika kutoka Dar na ile Boti akashuka moja kwa moja kwenda kuambatana na wenziwe waliokwisha chukua silaha kutoka kwenye ghala la silaha kwenye kambi ya Jeshi tayari kwa kwenda kumvamia Bwana yule na kuhakikisha haishi yaan anapoteza uhai, muda ulipowadia majira ya jioni Kaka mtu na wenzie wakaelekea kwenye Jumba jeupe alipokua Bwana yule dhumuni na lengo ni kwenda kummaliza mara moja kisha kutokomea kusikojulikana kumbe isivyobahati Bwana yule analindwa na walinzi wenye silaha za moto basi Kaka mtu na wenzie wakafanikiwa kuingia kwenye Jengo lile jeupe moja kwa moja mpaka alipokua Bwana yule akiwa na wenzie wamejipumzisha kwa kucheza mchezo wa Bao akakunja goti moja chini akaweka silaha yake sawa akaanza kuzimimina kuwaelekea Bwana yule na wenzie aliokua anacheza nao BaoJaman aliyeelewa hapa anisaidie
Siyo walitawaliwa walipigwa kivita,angewatawala saizi hayo maeneo yao wangejaaa waheheniliwahi kusikia wabena na wakinga hadi wasangu, walikuwa chini ya Mkwawa, walitawaliwa na chief wa wahehe. labda hayo unayoongea yalitokea baada ya Mkwawa kufa, ila sio wakati wake.
Yawezekana wametoka kabila moja kama makabila 400 ya kibantu yalivo na asili moja. Lakin kabla ya ukoloni wamenyukana mnoMkinga na mbena ni mtu mmoja. Na wote tambiko lao kuu ni pale nyumba nitu. Ikawaje wakagombana mtu na mzazi .
Mkuu unaongelea sanamu zipi?waabudu sanamu duniani ni peponi kwenu hapa unajiona upo uwanjani na ndio maana mnatakaga kuishi miaka mingi sababu dunia ni pepo yenu ahahaha