Vita ya mashamba na mapori

Vita ya mashamba na mapori

Vujole

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
33
Reaction score
22
Wadau;
Naomba kujua kwa nini kwa asilimia kubwa ugomvi wa ardhi kati ya wafugao na walimao; wafugao huwa ni wamasai zaidi? (Iwe Arusha, Moro, Lindi au Katavi)

Kwani "normads" ni wamasai tu nchi hii? Na wasukuma ni wafugao ila ni nadra kuwasiki ktk mitifuano hiyo. Wamasai kulikoni?
 
Back
Top Bottom