Dominic Myumbilwa
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 190
- 93
Sidhani kama vita hii itakua endelevu kama nguvu haitatiwa visiwani Zanzibar pia, ikiwa Zanzibar hasa Unguja Kijografia, ni sehemu iliyoko karibu kabisa na jiji la Dar Es Salaam na ina watumiaji wa madawa ya kulevya nadhani zaidi hata ya huko vita inakotiliwa mkazo.