tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,754
- 764
Watu wanalalamika kwamba madawa ya kulevya yamelenga kudhoofisha upinzani kivipi??kwani upinzani unaendeshwa kwa pesa ya madawa ya kulevya? au viongozi wa upinzani wanaujasiri unaotokana na madawa ya kulevya??Madawa ya kulevya yamelenga kudhoofisha upinzani kivipi??