Vita ya Aleppo inaanza tena

A
Anawaogopa Wamarekani
 

Attachments

  • Screenshot_20241201-020148.png
    196.1 KB · Views: 14
Russia ipo vitani miaka na miaka mzee hili nisuala dogo sana kwake ngoja uone Russia akipiga pale Syria hapigi kama anavyo piga Ukraine Jana na leo tu kuna maeneo Aleppo yashafanana na ukanda wa Ghaza 😢
Kwa huko hakuna Genocide kama Gaza?
 
Hayo ni Magaidi ya Mohammed, na hapa tunaona Gaidi kubwa la Mohammed linalojificha kwenye suite, Rais wa Turkey Tayyep Edogan ndilo linalowasaidia.

View: https://x.com/GoldingBF/status/1863249411268038856
 
Sijui lakini ila najiulizaga hivi; Islam ndugu yale Islam now how comes sijui Zayuni, USA or Russian ambao (kwa mujibu wa Waislamu wengi humu ) ni makafiri wawagombanishe na nyie mkagombana? Asie na akili hapo ni NANI? Sina ugomvi na mtu, nauliza tu
Umekosea kuuliza swali, iltakiwa kua kwanini waarabu? Na Kuna waafrika pia wanagombanishwa, Kuna korrea pia waligombanishwa, kwahio kugombana ni suala la maslahi Hasa katika uongozi au mali
 
Hata uko Syria wakileta ngebe IDF inaend kumchukua Assad Damascus

Kutoka mpaka wa Israel na Damascuss in KM 50 kwa maana nyingine ni kutoka Posta na Chanika, hapo Israel inatumia sasa Mizinga mizito mizito
Hio Ngoma mbele ya Russia na Iran hawezi aende Gaza Kwa wenye maroketi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…