Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,599
- 36,610
Yaani hakuna nchi ambayo watu hawataki kujitenga na nchi husika sasa huyo jamaa sijui kaangalia kigezo kipi hasaTanzania - Zanzibar
Kenya- Pwani
Nigeria- Biafra
DRC- Kivu ya Banyamulenge
Yaani hakuna nchi ambayo watu hawataki kujitenga na nchi husika sasa huyo jamaa sijui kaangalia kigezo kipi hasaTanzania - Zanzibar
Kenya- Pwani
Nigeria- Biafra
DRC- Kivu ya Banyamulenge
Huko kote ulikosema wana akili timamu ya kukaa chini na kuepusha maafa kwa watoto na wasiohusika.Kama ukisema hivi hakuna nchi duniani ambayo hakuna kakikundi kanataka kujitenga au tuanze kuorodhesha baadhi Canada kule cubec wanataka eneo lao marekani kule kuna majimbo kibao yanataka kujitenga Spain katalunya UK kuna kina Ireland pale German kuna kule German mashariki yaani hakuna hakuna hakuna nchi ambayo baadhi ya watu hawataki kujitenga kama ipo itaje
Sijui lakini ila najiulizaga hivi; Islam ndugu yale Islam now how comes sijui Zayuni, USA or Russian ambao (kwa mujibu wa Waislamu wengi humu ) ni makafiri wawagombanishe na nyie mkagombana? Asie na akili hapo ni NANI? Sina ugomvi na mtu, nauliza tuMzayuni ndio kaactivate hio vita baada tu ya cease fire akaamsha makundi yake Assad pale hawamtoi unless Iran na Urusi wachakae kabisa nani wa kufanya hio kazi?
Ukiinua hata mkono kumpiga mtu bila sababu za msingi unakua huna akiliHuko kote ulikosema wana akili timamu ya kukaa chini na kuepusha maafa kwa watoto na wasiohusika.
Angalia hata Israel na namna imeweza kukaa chini na PA ya akina Abbas, hadi mabenki ya Israel yana omba kufanya kazi na Wapalestina.
Makobazi wa Syria wanaharibu hadi vituo vya utalii
Moamed Idrisa katika Moja na mbili!Awa jamaa wakiweza kushikilia bomba wiki hii basi labda watakuwa mazombi maana sizani kama watatoka salama
Erdogan ni muongo sana huwa anapiga kelele wee kuhusu Israel lakini huwezi kukuta anapeleka jeshi kupigana na Israel.Turkey ya Edorgan ni ya kishenzi sana , Uturuki yeye ana ugomvi na pkk wakurdi ,sijui ni kwanini anaenda kushambulia vikosi vya serikali ya Assad ,yeye kama Target yake ni wakurdi angeenda kuwaponda huko Kurdistan kuliko kushambulia vikosi vya serikali iliyokithiri kuleta stability kwenye nchi baada ya vita ya miaka mingi na uharibifu mkubwa na kiuhalisia territory ya wakurdi IPO ndani ya Syria na ni sehemu ya taifa la Syria na haitakiwi kuvamia na kudhambulia kinyemela kama anavyofanya kila siku yeye na washenzi wenzake mazayuni IDF WA Israel ,ule ni ushenzi na ugaidi .
Huyu fala ni wa kumtoa madarakani na kumyonga , Syria ilikuwa imeanza kutulia baada ya Hezbollah ,Iran na Urusi kusimamia show na kuwang'oa ISIs na magaidi wengine waliofadhiliwa na Marekani na mazayuni kama Alnusra nk
ISIS ni project ya mmarekani na washirika wake ,Israel akishirikiana na washenzi kama uturuki nkJana nimeona kule X wale Waasi wameanza kuchinja mateka wa Vita huku wakisema Shia ni Makafiri.
Isijekuwa ISIS wamerejea kutoka Turkey.
Sio kwamba wanataka kusimamisha Dola ya Kiislam ya Kisunni?wale ni mercenaries wanaofanya kazi kwa madhumuni maalumu ya mabwana zao ,
Israel kapiga msafara wa kupeleka misaada Gaza Kwa kumlenga mtuhumiwa wao .Leta ushahidi wa Urusi kufanya mauaji ya makusudi dhidi ya raia ,ni lini ulisikia Urusi akizuia chakula kuwafikia raia ili wafe na njaa.
Halafu nani atasimamia maslahi ya Marekani pale middle East? Au unazani nchi zinaendeshwa kama taasisi ya familia? Unajua kwa nn Marekani anaikingia kifua Taiwan? Unajua kwa nn Russia alimuokoa Maduro wa Venezuela? Unajua kwa nn Russia anashrikiana na kiduku wa North Korea? Endelea kuota Marekani ataachana na Israel ili utashi wa maono yako ya kidini utimie. KUMBE UNAONA USA MJINGA TU ANAPOPELEKA SILAHA UKRAINE SIO? ILA UNAFURAHIA TU UNAPOONA RUSSIA ANA VIKOSI SYRIA SIO?Utafika tu wakati Americant ataiona israhell takataka tuuuu
MadrasaSyria hawajishikwa mikono na miguu wakaambiwa wakapigane...
Sababu ya wao kupigana ni waamini Washia ni makafiri na Wasunni ni Makafiri hao wote Wanapigana wengine ni ndugu kabisa wa Damu,. kama wanaweza kupelekeshwa Hadi kuuana hivyo basi ni Wajinga
Huu ndio uongo aliozoea kuzusha Israel.Israel kapiga msafara wa kupeleka misaada Gaza Kwa kumlenga mtuhumiwa wao .
Hivyo kuzuiwa misaada na chakula usiichukulie kiwepesi mkuu.View attachment 3166752
Huu ndio uongo aliozoea kuzusha Israel.
Vipi na wale wamarekani wanne waliolipuliwa na gari lao la vyakula nao watuhumiwa wa Oktoba 7!?
Huu ndio uongo aliozoea kuzusha Israel.
Vipi na wale wamarekani wanne waliolipuliwa na gari lao la vyakula nao watuhumiwa wa Oktoba 7!?