Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Laweza kuwa swali la kijinga!
Tanzania hatuna jeshi la kihivyo kujilinganisha na hao wakubwa.
Lakini wasi wasi unaanza kutanda juu ya uwezekano wa vita ya nuclear kati ya Korea Kaskazini na Marekani.
Trump keshasema ataangusha mapigo ya noto wenye hasira(Fire and fury), wakati Korea imesema itakichakaza kidiwa cha Guam, kilichopo bahari ya Pacific.
Kihistoria vita havina macho.
Serikali yetu itupe angalizo ingalau.
Je tujenge mahandaki kuepuka mionzi?
Watu waanze kujihadhari kuweka chakula na maji ikifikia hatua gani?
Mambo ya nuclear war yanatisha.