Kwa nini usiende Rafah ukailazimishe Israel iache kutoa kipigo?Aibu tupu kwa mfalme.
Biden anaonya mdomoni huku moyoni akisema Israel shika hapohapoBiden and Jordanian king warn about planned Israeli invasion of Rafah
Yeye mwenyewe anasemaje kuhusu jihaad!!Shekh Mwaipopo anasema hakuna watu wanafiki kama Watawala wa Kiarabu......kweli nimeamini.
Anasema Dini Haipiganiwi......dini ina elimishwa watu wenyewe wanaipenda.Yeye mwenyewe anasemaje kuhusu jihaad!!
Mkuu si mnatuambia Hamas anashinda vita? Misri na Jordan waliwahi kupigana vita ambayo Israeli aliteka maeneo ya nchi hizi. Egypt alikaa mezani akaomba arudishiwe eneo la mlima Sinai. Kwa historia hii, Misri au Jordan hawatataka vita nyingine na Israeli. Vita ya Gaza isikidanganye, hapo Israeli anapiga kwa ustaarabu, kwa kulinda raia.Kila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika.
Sauti za kutetea zimekuwa zikisikika sana kutoka Ulaya na Marekani ijapokuwa zina lengo la kuvuta muda Israel afanye anavyotaka bila kuzuiwa.
Unafiki unaosikitisha zaidi ni ule wa nchi za kiarabu jirani na Gaza hasa Jordan na Misri.Wakati wana uwezo wa kuzuia ukatili huo tena unaofanywa kwa ndugu zao,wao ama wamekaa kimya au wamekuwa wakifanya vitu vya kichekesho vinavyokaribia vya kishoga.
Mfalme Abdallah muda kama huu ametoka maelfu ya kilomita kwenda ikulu ya Marekani yeye na familia yake kuomba Israel isitishe vita na wasipige Rafah.
View attachment 2903474
Biden and Jordanian king warn about planned Israeli invasion of Rafah
Akikusoma miss JF umekwisha.Yeye anatueleza kwamba Hamas wameshashinda vita hiyo.Ni muda tu watatangazwa washindi.Kabla haujatafakari hayo,atakuuliza kama shuleni ulienda kusomea ujinga kwa umahiri!Mkuu si mnatuambia Hamas anashinda vita? Misri na Jordan waliwahi kupigana vita ambayo Israeli aliteka maeneo ya nchi hizi. Egypt alikaa mezani akaomba arudishiwe eneo la mlima Sinai. Kwa historia hii, Misri au Jordan hawatataka vita nyingine na Israeli. Vita ya Gaza isikidanganye, hapo Israeli anapiga kwa ustaarabu, kwa kulinda raia.
Ikiwa ni vita proper, ndio utaona vita ya kweli ya Israeli, huyo hata Waarabu wakiungana bado hawamuwezi, ana super nuclear ya kuchoma Middle East yote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Anasema Dini Haipiganiwi......dini ina elimishwa watu wenyewe wanaipenda.
Si kweli. Ngoja niwaite wenzanguKila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika.
Sauti za kutetea zimekuwa zikisikika sana kutoka Ulaya na Marekani ijapokuwa zina lengo la kuvuta muda Israel afanye anavyotaka bila kuzuiwa.
Unafiki unaosikitisha zaidi ni ule wa nchi za kiarabu jirani na Gaza hasa Jordan na Misri. Wakati wana uwezo wa kuzuia ukatili huo tena unaofanywa kwa ndugu zao, wao ama wamekaa kimya au wamekuwa wakifanya vitu vya kichekesho vinavyokaribia vya kishoga.
Mfalme Abdallah muda kama huu ametoka maelfu ya kilomita kwenda Ikulu ya Marekani yeye na familia yake kuomba Israel isitishe vita na wasipige Rafah.
View attachment 2903474
Biden and Jordanian king warn about planned Israeli invasion of Rafah
{Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia}. [Al-Hajj:39].
Kwa hiyo hawa Hamas hawajaruhusiwa?{Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia}. [Al-Hajj:39].
Umeandika uharoKwa hiyo hawa Hamas hawajaruhusiwa?
Miaka ya nyuma Lebanon, Jordan, Misri na Syria walipokea wakimbizi toka Palestina.Kweki warabu wana roho mbaya sana.
Yaani hata kupokea Wakimbizi tu?
Umekula uharoUmeandika uharo
Walinyea mkono ulio walisha ngoja wapokee vipigoMiaka ya nyuma Lebanon, Jordan, Misri na Syria walipokea wakimbizi toka Palestina.
Lakini baada ya muda hawa watu walianzisha vikundi vya kigaidi ndani ya Nchi hizo na madhara yalikuwa makubwa sana!
Lebanon ndio hawa Hizbollah waliiteka Nchi!
Misri walianzisha vikundi vya kigadi kaskazini ya nchi na viliisumbua sana Misri!
Jordan hivyohivyo hadi waliomba msaada Israel ili kuwamaliza!
Sijui zile silaha analimbikiza za niniKila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika.