Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Hii vita ni ya Magharibi dhidi ya Russia.
Mzozo ulianza kitambo sana hasa kwa tabia ya urussi kupinga na kuingilia oparrations za USA au NATO. Tuchukulie VIETNAM na SYRIA kama mfano
Tabia ya Russia kuingilia oparations hizi mara nyingi kumefanya vita kuwa ngumu sana
Na wakati mwingine kujikuta USA na washirika wake wana pata upinzani wa kiwango cha lami na hata kupoteza kabisa na kuwaacha na hasara bila malengo yao ya Uvamizi kutimia.
Sasa USA na washirika wake wakaona dawa hapa kudeal na mzizi wa fitina. ( usihangaike na kivuli kilicho pinda ulio pinda na mti) wakaset mipango ya kumnyoosha mrusi kwanza.
Kwanza wakatafuta na wao sehemu ambayo Mrusi anamgogoro wakaona UKRAINE imekaa mujarabu kabisa.
walipoona kila kitu kimekaa sawa wakamjaza upepo zelensky.
Sasa bila kufikiri mrusi akiingia kichwa kichwa akiamini kutumia mbinu za uvamizi wa kushtukiza kutamfanya ndani ya muda mfupi kukamilisha mission zake akiamini Dunia itakua kimya had kuchukua action atakua kashamaliza mambo yake.
Akaidanganya dunia kua hana mpango wa kuvamia.
Kumbe USA na WASHIRIKA wake walikua wanamsoma tu.
Alipo ingia vitani rasmi na mambo yalipo Taradadi kwanza USA wakamjaza upepo
wakamwambia.
NATO haiwezi kuingilia kijeshi hii vuta kwani itakua ni WW3. na yeye akavimba kichwa kumbe wenzie walitaka vita vichukue muda kdogo ili awamu ya kwanza ya mikakati yao itimie. KIVIPI?
1. Kwanza wakamuekea vikwazo lengo ni kufuja mali za Russia aluzo wekeza nje. na wakazuia mapato ambayo aliyapata au angeyapata kutokana na SWFT. NA makaa ya Mawe. wakambinya apa kisawa sawa hadi inshu za ugavi wa Vita kuwa ngum. So wakanufaika na mali hizi. na kumyumbisha rusia.
2. Akadeal na washirika wake kwa kuwapa threat kiasi kwamba wanahofia kumpunguzia makali mrussi. sasa washirika wa mrusi zikawa zle nchi zisizo na mbele wala nyuma. kama belarus na KOREA north
3. Waka ondoa technolgy zao kama Boeng Nk. halaf waka weka kampen ya kuonesha silaha zake ni dhaifu. (na kweli ni dhaifu) hasa zile silaha zilizopo kwenye soko wakafanikiwa.
4. Baada ya kumdhoofisha huku wamefanya mrusi kuwa sio Threat tena now wamempiga pini barabara
USA na washirika wake infacts hawana manufaa AU hasara yoyote kwa UKRAINE kushinda au kushindwa. cha msingi walilotaka limekua
MRUSI wamemuacha hana chaguo zaid ya kujitutumua kaweka threat za nyuklia na kadhibiti propaganda za USA kuingia Russia
Lakini BADO beki hazikabi tena na timu imeelemewa upande wa mrusi
Itaendelea...