Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,987
- 23,315
Mjeda wa nchi gani?View attachment 3696968
Hapa ukute upo mbali na mtu wa medic alafu mmetanganishwa na line of fire, mguu lazima uoze aisee.
Sasa taifa ya kukata viuno ulishaona ipo serious.Like seriously!!! Mud boot unaivaa kwenye war zone. Stupid afrika
Ni kamati tu zenye roho mbaya zinazojificha kwenye mgongo wa taasisi zetu za ulinzi, hao wapo kila sehemuWale waliomuomba Samia waanze kutukana wakosoaji?
Hatari sana kuliko hata za Steve Simple.Tunaposemanga 'ni ngori', tunamaanishanga.
Iceberg9 na Moisemusajiografii ebu chungulieni nje kuna noah nyeusi old model ipo nje hapo, mme muudhi mwashambwa😁😁Hivi,bado hatukukubaliana kwamba liitwalo jeshi la wananchi ni jeshi la CCM?
Taifa gani hilo?Sasa taifa ya kukata viuno ulishaona ipo serious.
Luca bado hajatoka kibaruani kuchuma kakao za Mzee Mwambigija.Iceberg9 na Moisemusajiografii ebu chungulieni nje kuna noah nyeusi old model ipo nje hapo, mme muudhi mwashambwa😁😁
Luca ameongeza na mke wa pili baada ya kusikia kutakuwa na ongezeko la ujira.Nasikia wamechoka 7000 kwa post wanataka 10,000😁
Kabisa.Hatari sana kuliko hata za Steve Simple.
Chadema wanaitaka sana hiiView attachment 3696968
Hapa ukute upo mbali na mtu wa medic alafu mmetanganishwa na line of fire, mguu lazima uoze aisee.
Congo ndio tabia zao hizi.Taifa gani hilo?
Bora ufie vitani kuliko hiyo kitu...Kuna mwanangu anasumbuliwa na PTSD
Hiyo beji ya bendera aliyovaa huyo majeruhi ni ya huko nchi mojawapo ya west Africa, sijajua ni nchi gani!Congo ndio tabia zao hizi.
Kwa rais mzee kuliko wote.Hiyo beji ya bendera aliyovaa huyo majeruhi ni ya huko nchi mojawapo ya west Africa, sijajua ni nchi gani!
Cameroon au siyo?Kwa rais mzee kuliko wote.
Nchi za kuongea kifaransa upapaa mwingi ila vkund vya ugaid wanasumbuka navyo chek GabonCongo ndio tabia zao hizi.