Vita sio jambo la kushabikia hata kidogo

Vita sio jambo la kushabikia hata kidogo

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
Vita sio jambo la kushabikia hata kidogo.takibani siku chache kumekua na kila dalili za nchi ya marekani na iran kutaka KUINGIA kwenye vita kutokana na migogoro yao iliyodumu kwa miongo mingi bila kupata ufumbuzi, kutokana na migogoro hiyo wako wachache wamekuwa wakishabikia vita bila kujua madhara yatakayo tokea.
MGOGORO MDOGO TU HIVI KARIBUNI kati ya Iran na marekani UMEUA WAIRANI PEKEE ZAIDI 150.
1.WAMEPOTEZA GENERAL WAO QASSIM SULLEIMAN
2.WAMETUNGUA NDEGE KIMAKOSA NA KUUA WAIRAN 80.na bila kuhesabu mataifa mengine ingawa mwanzo walidanganya wameua wa marekani 80.kumbe wametungua ndege ya Ukraine .haya yote ni matokeo ya MGOGORO.
3.wanajeshi zaidi 25 waliuawa na marekani uraq wanaoungwa mkono na irani huko Iraq.
4.WATU ZAIDI YA 50 WALIKUFA KWA SABABU YA MSONGAMANO wakati wa mazishi ya General suileman.

HUO NI MGOGORO TU BADO VITA. JE IKITOKEA VITA WATAKUFA WATU WANGAPI MIDDLE EAST.
Ikitokea vita mataifa jirani na irani WATAKUFA wengi sana. Kutokana na Iran kurusha makombora bila utaratibilu bila shabaha ambayo yatakuwa yanatua mashabani, mahospitalini na masokoni. Kwa na WATU wasio na hatia mfano mzuri wametungua ndege ya Ukraine.
Tafadhali USISHABIKIE vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu bana
Screenshot_2020-01-11-07-14-10-1.jpeg
Screenshot_2020-01-11-08-11-29-1.jpeg
images-2.jpeg


dodge
 
Swala sio kukosea, angalia na tech ya kipind hicho..sasa ww 2020 kweli radar yako haijui kutofautisha f22 na Boeng? Alaf unasem uko na sophisticated Technology [emoji16][emoji16]



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah usisahau US inayojiita the most advanced army mwaka 2019 tu hapo imeua raia 60 wasiokua na hatia sijui hizo tech. Zake za kisasa ziliishia wapi,no wonder Iran imeliweka jeshi la US kwny list ya kundi la kigaidi.
Screenshot_2020-01-11-16-38-49-1.jpeg


dodge
 
Back
Top Bottom