Kuna moja alivutwa hadi nchi kavu na akabamizwa kwenye mti mara nne na akakanyagwa weee hadi akawa kama sponji, huyu mdudu tembo ana nguvu za ajabu sana.
hahhhahahahaahaaa kwa kweli Mpwa leo umenifurahisha, sometimes we need to joke laugh and the like so kila saaa ni kulumbana tu, mwambie na Chir lukosi nae hahahaaaa be blessed Man
Pumbavuuu!unahadhigani ww!
Tafuta zako watu hawaowi ovyo mama ww utaliwatuuuweeee mpakaukome utaishia kupakizwa kwenye hzo hama ukipelekwa machinjioni,tafuta lako kwa jasho alaaaaa