mkuu upo nyuma Sana....We upo dunia ipi mkuu? Vita ya tatu mbona ipo miaka mingi!!! Hadi leo tunapambana nayo na hakuna mshindi.nayo ni UKIMWI
Nyasi utazitoa wapi wakati mvua zenyewe za mawengeBaada ya Wazee wa vita kuanza kufanya maandalizi ya Kuichapa Korea Kaskazini na baada ya wazee hao wa vita kufanya majalibio ya MOAB, Dalili zinaonyesha wazi kabisa nchi kumi zenye mabomu ys nuclea zimeanza kujiandaa kuingia vitani,
Hii vita ya tatu ya Dunia ya safari hii itakua ni balaa. Sasa na huu ugumu wa maisha tulionao nahisi tujiandae kula nyasi.
Marekani hajawahi kushinda Vita kumbuka alipokea kichapo kutokea kwa Vietinam, mwaka 1993 alienda Somalia akala kichapo heavy sana, VITA VYA afighastan na Iraq mpaka leo vita vinaendeleaHakuna vita hapo! Korea kaskazini wana technology ya kurusha nuclear missile!! Walisha soma mchezo wote wamarekani for more than 12 years ago! USA wana technology ya ku capture nuclear weapons bila effect yoyote..!!!! Ukiona marekani kaamua kufanya kitu, mchezo ulisha isha kitambo
No.HIV ni zaidi ya Vita ni vita ya kibiasharaMkuu u
mkuu upo nyuma Sana....