mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,183
- 1,083
Upo ukweli mchungu unaofichwa ya kuwa uchumi wa dunia upo mahututi..Dalili nyingi sana zipo wazi juu ya hatua mahsusi zinachukuliwa na mataifa mengi kujinusuru na mkwamo mkubwa wa kiuchumi unaoendelea.
Nchi yetu yapaswa kuchukua hatua madhubuti na za makusudi kudhibiti madhara zaidi ktk taifa letu.kushuka kwa bei za mafuta ,kupungua kwa uagizaji bidhaa kwenda nchi jirani {hasa zenye kutegemea uchumi wa madini kama copper,titanium,etc},Kufungwa kwa baadhi ya biashara kubwa kubwa,uuzwaji wa hisa za makampuni ya kimataifa ni baadhi ya dalili ya ujio wa kipindi mchakato kiuchumi.{mimi si mchumi hivyo maoni yangu ni ya kimtazamo}
Dunia nzima ipo kwenye wakati mgumu sana kiuchumi sababu ya vita kuu ya kiuchumi inayopiganwa kimya kimya na mataifa yalioinuka kiuchumi na yale yaliokuwa yakitamalaki kiuchumi..Vita hii ya kiuchumi yapiganwa kwa kutumia silaha za maangamizi kama fedha {currency war},mafuta {crude oil},ugaidi {ISIL,Alqaeda,Al shabaab,Boko haram etc},bei za bidhaa kuu.
Urusi,Uchina,Marekani,Japan,Korea {K,K},Uingereza,Ujerumani na India,Pakistani n.k wakihusika kwa karibu..Madhara ya myumbo wa kiuchumi hayaepukiki kwa nchi zinazoendelea na maskini kwa sababu ya kutegemea uchumi wa nchi zilizopevuka na kurutubishwa kiuchumi.
Ukoloni mpya umeibuka na unashika kasi kubwa chini kwa chini..Rising international demands/needs by current super powers of our premium and precious oil,gas,water,rare earth metals are esteemed factors behind new scramble for poor countries resources is on edge..
Maneno ya Donald Trump rais ajae wa Marekani juu ya ukoloni mpya yaliporochoka na ni mpango mahsusi..Influx ya Wachina,Wamarekani,Warusi ,Wahindi kwenye nchi zetu si kwa bahati mbaya..Uchumi wa Zambia,Tanzania,Malawi,Congo DRC,Uganda,Botswana,Malyasia na nchi nyingi zingine upo hoi bin taabani