Kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima . Inavyoonekana kwa hapa tz kutumia dawa za kulevya cyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana kwamba mtumiaji hana kosa tunaishia kuwaita waadhirika wa madawa . Kwa mtazamo wangu naona ili kufanikiwa ktk hili , watumiaji ndo wangekuwa watuhumiwa namba moja na wawe na kosa la kujibu . Mfano mtu akikutwa anavuta bangi atafikishwa mahakaman on the spot . Bt kwa watumiaji wa madawa tunachofanya ni kuwapa tiba . Cha kujiuliza hv kulikuwa na sbb ya msingi ya mr president kumgharimia ray c matibabu ? Pili kwa nn ray c asiwataje waliokuwa wanamuuzia hayo madawa ili wafikishwe mahakamani ?
Tutafakar kwa umakini sana
bongo kila kitu usanii, viongozi wasanii, vyuoni usanii, hospitalini usanii, wasanii ndio usanii basi tu ili mradi tunakula tunalala ,mambo yanakwende. Mabadiliko yako mbali sana.kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima . Inavyoonekana kwa hapa tz kutumia dawa za kulevya cyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana kwamba mtumiaji hana kosa tunaishia kuwaita waadhirika wa madawa . Kwa mtazamo wangu naona ili kufanikiwa ktk hili , watumiaji ndo wangekuwa watuhumiwa namba moja na wawe na kosa la kujibu . Mfano mtu akikutwa anavuta bangi atafikishwa mahakaman on the spot . Bt kwa watumiaji wa madawa tunachofanya ni kuwapa tiba . Cha kujiuliza hv kulikuwa na sbb ya msingi ya mr president kumgharimia ray c matibabu ? Pili kwa nn ray c asiwataje waliokuwa wanamuuzia hayo madawa ili wafikishwe mahakamani ?
Tutafakar kwa umakini sana