dah, yaani mkiongea VB mnanichanganya kabisa. Niitia kapuni tangu mwaka 2007 so nakumbuka kwa mbaaali mambo ya Dim
CP, nina knowledge nzuri tu ya Python, sina hakika ni nini kinasumbua, vema ungeanzisha thread, ila naweza chelewa kupost, usijali!
Kuna member amepost tofauti ya Java C and the co. Post yake ina makosa kadhaa ambayo baadhi yake nitayarekebisha. C siyo starter package, ingawa vyuo vingi huitumia kwa wanaojifunza. C inatumika kutengeneza program yoyote, hata OS nying including *nix zimekuwa coded in C. Kwa hiyo C ni full fledged language. Tofauti na Java ambayo ni interpreted na hivyo kuhitaji Virtual machine, c ni compiled kwa hiyo somehow faster than java. Java ni full fledged lakini inahitaji VM kukimbia. c ina run naturally. Java ina support OOP wakati C ni procedural
Anyway, kama alivyosema CP, ngoja tuwaachie VB mavericks thread yenu lol!