Nashukuru sana Mkuu KombaJr.
Nilikuwa najaribu pia kucheki za wenzetu nimebahatika kupata za majirani zetu Kenya;ebu tuziangalia yawezeka ni nzuri lakini Je Tunazitekeleza au mipango yetu inareflect kwenye DIRA na Dhima zetu?
Our Vision Statement:
"A competent public service, for a competitive and prosperous Kenya"
Our Mission Statement:
"To provide overall strategic policy leadership and direction for effective public service delivery for the prosperity of Kenyans"
Our Mandate:
"Organization and facilitation of Government business"
MYTAKE: Hii Vision na Mission yetu kwa taarifa zisizorasmi ni kwamba toka tumepata uhuru tumekuwa na Mipango mkakati miwili tu ambayo inamaanisha kuwa hata hizi vision na mission ndiyo hivyo na inaoneka hata hizi tulizonazo ilikuwa ni shinikizo la donnor kuwa lazima tuwe na vision na mission na ndiyo maana utekelezaji wake unakuwa mgumu.
"Tanzania People first, Perfomance Now"