Vision and mission ya bunge letu

mwinyi

Senior Member
Apr 11, 2008
149
155
Vitendo vinavyoendelea katika bunge letu,je vinashabihiana na dhamira na malengo ya watanzania???

Vision
“An Effective and responsive people’s Parliament”

Mission
“To be the Voice of the People by effectively fulfilling our constitutional Mandate of Representation, legislation, and overseeing the function of the Executive in order to ensure continued improvement of peoples lives under conditions of freedom, peace, equity and unity
 
Tatizo aliyekalishwaa juu ya kiti.

Ukimwangalia unaweza dhani amekaa juu ya kiti, lakini ukweli ni kwamba kakaa juu ya paa lote la Bunge na kafunika jengo zima.

Wabunge hawafurukuti, wabunge wamefungwa midomo.
 
Aliyepita mlimuita dhaifu...mnaonaje hiki kisiki cha mpingo?

Umemuelewa mleta hoja??Au sababu unalipwa basi unakimbilia kujibu tu?Hivi Bunge ni la watanzania au la CCM??Jiongoze mzee

Vision
“An Effective and responsive people’s Parliament”

Mission
“To be the Voice of the People by effectively fulfilling our constitutional Mandate of Representation, legislation, and overseeing the function of the Executive in order to ensure continued improvement of peoples lives under conditions of freedom, peace, equity and unity
 
James Madison, aliyekuwa rais wa nne wa Marekani, alisema maneno haya wakati wa mchakato wa kuandika katiba ya nchi hiyo (ambayo inatumika hadi sasa) katika karne ya 18: "Kama malaika wangekuwa ndio watawala wa watu, kusingekuwa na haja ya kuwa na chombo cha kuidhibiti serikali". Labda watawala wa sasa wa Tanzania wanajiona wao ni malaika!
 
Vitendo vinavyoendelea katika bunge letu,je vinashabihiana na dhamira na malengo ya watanzania???

Vision
“An Effective and responsive people’s Parliament”

Mission
“To be the Voice of the People by effectively fulfilling our constitutional Mandate of Representation, legislation, and overseeing the function of the Executive in order to ensure continued improvement of peoples lives under conditions of freedom, peace, equity and unity
Is the parliament practising the vision and the mission? The answer is no. Take for example a member like Lusinde. Does he even understand what the vision and mission mean? To me he does not. There are many others like him. The reason why most of them are pro government instead of speaking for the people they are representing. It is pathetic.
 
Sidhani kama JPM kama hata huwa anasoma vitabu ,ngoja aendeshe kwa mkono wa chuma tuone tutafika wapi!
 
Serikali ndiyo inaisimamia na kupanga kila kitu cha bunge.
Rais ndiyo analiamulia bunge as long as yeye ndiyo kamteua kiongozi wa bunge hilo Bi.Tulia
 
Umemuelewa mleta hoja??Au sababu unalipwa basi unakimbilia kujibu tu?Hivi Bunge ni la watanzania au la CCM??Jiongoze mzee

Vision
“An Effective and responsive people’s Parliament”

Mission
“To be the Voice of the People by effectively fulfilling our constitutional Mandate of Representation, legislation, and overseeing the function of the Executive in order to ensure continued improvement of peoples lives under conditions of freedom, peace, equity and unity
Acha kukurupuka...kwani umeona reply yangu ilikuwa inaenda kwa mletamada?
 
James Madison, aliyekuwa rais wa nne wa Marekani, alisema maneno haya wakati wa mchakato wa kuandika katiba ya nchi hiyo (ambayo inatumika hadi sasa) katika karne ya 18: "Kama malaika wangekuwa ndio watawala wa watu, kusingekuwa na haja ya kuwa na chombo cha kuidhibiti serikali". Labda watawala wa sasa wa Tanzania wanajiona wao ni malaika!
Hivi inakuwaje hawa wabunge wa ccm wanapokwa mamlaka yao ya kuisimamia serikali na wao wanaona fahari kufanyiwa hivyo? Tena wanatumia na nguvu kuhakikisha hata wale wa upinzani nao wabanwe wawe kama wao?
 
Back
Top Bottom