Visa ya Tunisia

Visa ya Tunisia

sili

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
291
Reaction score
142
Wadau habari za asubuhi naomba kuhuliza utaratibu kuhusu kupata visa ya kwenda tunisia ,naomba kujua kwanza ubalozi wa tunisia upo sehemu gani , na kama haupo hapa nchini ni taratibu gani naweza kuhufuata kupata visa.

Visa zinapatikana on arrival. Hakuna ubalozi hapa bongo, visa zinapatikana tunis airport kwa 50 dinar hakikisha immigration ya tunis wanalojina lako, yaani yule atakaekualika apeleke jina pale tunis airport na akupe wewe barua ya mualiko. Hakikisha unaitunza vizuri kwani tunis air ni wakorofi sana kama hauna barua ya mualiko inayothibitisha visa itapatikana on arrival
 
Asante mkuu lkn inamaana ni mm nikupata barua ya mualiko tu bas
 
Back
Top Bottom