Naamini wote wazima,..please naomba mwenye kujua namna rahisi ya kupata visa ya china, hasa kuhusu invitation letter ya kuambatanisha kwa safari ya kibiashara. Natanguliza shukrani.
No..mie nlikua nataka hiyo ishu ya viza za ulaya..unajua kwa kwetu huku znz huwa wanazilipia visa mpaka dola elf3 per each..ila hawana bank statement.huwa wanataka kwa deals. Ndio mana nikakuambia nataka

Hahaha bongo kwa short cut. Kuna mkaka kwa $ 200 tu anakuandalia kila kitu hadi visa interview appointment. Na visa inatoka in a week, ama ukitaka fast tracking inatoka in three days. Ni pm nikutafutie namba yake