Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

kwa ushauri, huyu achana nae, kwanza ni mshamba unaanzaje kumwita mwanamke afu hutaki kutoa nauli? Halafu mbona kama hajiamini, sababu kuona nyumba ya mwanamke ata hamjaonana. Nadhani huyu sio dada. Achana nae
 
Utoto mtaacha lini ?
 
Umesema unauza viatu na vitu vya ndani?. Pigia mstari kwenye VITU VYA NDANI UNAVYOUZA
 
Umesema unauza viatu na vitu vya ndani?. Pigia mstari kwenye VITU VYA NDANI UNAVYOUZA
Nguo na nguo za ndani, Chupi china ni senti 50 hadi senti 20 za kimarekani, huku tunauza kwa elfu 15,000 moja hadi elfu 5. Ni biashara nzuri ijaribu. Ukinunua nusu contena hukosi million 80- 50 hizo ni chupi elfu 10,000 tu. Wewe endelea kunicheka
 
kwa ushauri, huyu achana nae, kwanza ni mshamba unaanzaje kumwita mwanamke afu hutaki kutoa nauli? Halafu mbona kama hajiamini, sababu kuona nyumba ya mwanamke ata hamjaonana. Nadhani huyu sio dada. Achana nae
Yes asante kwa hii naona kabisa kuna shida somewhere why nigharamie safari unayoitaka wewe?
 
Tafuta wafanyabiashara wenzio wa hapo kariakoo, distance utaiweza mama? afu huyo jamaa kwa story uliyotoa hamuendani, yeye ana mtazamo wa kimagharibi, wewe mwafrika mweusi typical
Akili ya kimagharibi unamwita mwanamke kwa gharama yake? Na we ndo una shida nae?
 
Picha, tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…