Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Huko BADOO nako ni kisa kengine KABISA..!!Hahaha Daah pole aisee mkuu
Story yangu ni tofauti kabisa na yako I lost her and baby alikufa akiwa mjamzito .. .I miss her so much
Kwahyo mkuu sasa umeamua vipi ? Au ,su ushakuwa baharia wa badoo, tinder, telegram , Sudan temeke ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mjuba.Hahaha Daah pole aisee mkuu
Story yangu ni tofauti kabisa na yako I lost her and baby alikufa akiwa mjamzito .. .I miss her so much
Kwahyo mkuu sasa umeamua vipi ? Au ,su ushakuwa baharia wa badoo, tinder, telegram , Sudan temeke ?
Sent using Jamii Forums mobile app
tupeee ichoHuko BADOO nako ni kisa kengine KABISA..!!
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Hiyo ya 2018 πππ buza girlsMimi ni kijana wa kiume mwenye Miaka 30 sina MCHUMBA wala RELATION na MWANAMKE YEYOTE.
Ngoja Leo niwape visa vya mapenzi ambavyo vilivyonitokea na kunifanya KUSINYAZAA MOYO JUU ya HAYA MAPENZI KABISA....
Kifupi ndio vilinifanya KUGHAIRI KUOA na kuamua KUKOMAA NA KUTAFUTA PESA.
1. 2014... Nilipata binti mzuri na mtamuu wa kiislamu. Aliniacha kwasababu ya dini yangu na kuniita KAFIRI.
Akatimkia kwa ustadhi na kuolewa..!!!
2. 2015.... Binti mzuri wa kikristo nilimpenda. Kumbe bana yule binti kwa upole wotee ulee alikua ni mchepuko wa MCHUNGAJI wa KKKT anayeendesha kanisa kubwaa sana DSM.
Na mchungaji alikua ana miwaya..!!
Kuna Siku ile nasachi begi lake NIKAKUTANA NA MZIGO WA ARV.
Aisee nilidata..!!!
Nilipima Mara 100000000 majibu yotee yalakua -ve.
3. 2016..... Nilipata safari ya kikazi kwenda mkoa mwengine. Siku ya kurudi nikaona nimfanyie surprise baby.
Nikabeba mazawadi kibao.
Ile nafika gheto saa 6 usiku namkuta baby yupo na msela wangu KITANDANI KWANGU.
Niliingia tu nikahakikisha wameniona SIKUWAFANYA CHOCHOTE, then nikaacha mizigo na kwenda home kwa mlezi kulala.
Ilikua ijumaa..
Nilivyorudi juma3 jioni ghetto sikumkuta MTU na HATUKUWAHI KUTAFUTANA TENAAA.
4. 2017... Nikapata mtoto wa kimasai. Dah mtoto mzuri nikawa najilia vyangu.
Baada ya miezi kadhaa nikatafutwa na mdada mmoja na kunieleza kumbe mmasai ni mke wa MTU na wamezaa na huyo mumewe.
Duhh tobaa, nilivyo spy kumbe kweli..
Basi ukawa mwisho wake..!!!
5. 2018.... Mpuuzi mmoja hivi, ukimpa Leo hela ya sweta kesho atataka ya suruali. Kesho kutwa Kodi, mtondogoo anataka simu na juzi alitaka sijui ya pedi..!!!
Mmh nikahisi HAYA NI MAREJESHO YA VIKOBA??.... Huku ushampa mtaji wa biashara...!!!
Aisee ni wengi mnooo wengine nikiwakumbuka nitalia bureee...!!!
6..β¦.. Hebu tiririka na cha/vya kwako mwana JF.
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Nakaa hapahapa uone wadada tinavo danganywa niliolewa ma kaka jambazi.mavitu mazuri mazuri tu yanakuka home si kawaida.Ngoja nijibanze hapa kwanza nisome stor za kutisha
Pole...Mkuu Vipi mumeo yupo wapi sasa?Nakaa hapahapa uone wadada tinavo danganywa niliolewa ma kaka jambazi.mavitu mazuri mazuri tu yanakuka home si kawaida.
Siku moja saa nane usiku nikamulikwa na mitochi si ya Dunia hii likikupiga usoni huoni siku nzima.
Mapolisi wa kila ina wamezunguka nyumba. Nilijikuta niko peke yangu kaka jambazi kasepa kitambo!
Nikakamatwa mimi na Mali za wizi nikasema sijui alipo!
Nikapelekwa polisi sero! Nikalala huko siku mbili. Ajabu sana siku zote hizo nililala kwa mkuu wa kituo safi kabisa!
Pale kituoni nilipelekwa ushahidi tu lkn mapolisi wale wakimpigia saluti mkuu wa kituo na mimi nimo! Wakawa wapoleee
Duuuu! Nilishangaa sana
Aliingia mitini. si unajua kaka jambazi tena.wanakaa kimagutu magutu sana mara ya mwisho nilimsikia kenya na nyumba alisusa wakaja ndugu zake. Ndo wapo hapo.Pole...Mkuu Vipi mumeo yupo wapi sasa?
Kudanganywa Mimi nadhani Kuna mtu mmoja ndo alidanganya nikatamani kumroga...kabisa
AiseeeAliingia mitini. si unajua kaka jambazi tena.wanakaa kimagutu magutu sana mara ya mwisho nilimsikia kenya na nyumba alisusa wakaja ndugu zake. Ndo wapo hapo.