Mtu mwenye watoto 10 atazawadiwa milioni 50, jamaa mmoja baada ya kusikia tangazo akamwambia mke wake, sisi tuna watoto 9, ila nikwambie mke wangu mimi nina mtoto 1 nje ya ndoa, naomba tumchukue na huyo wawe 10 tupate hizo milioni 50. Mkewe akamwambia poa, jamaa
akaenda kumfata huyo mtoto.
Aliporudi hakuwaona wale 9, akamuuliza mkewe watoto wako wapi? Mkewe akajibu baba zao walipoona tangazo nao
wamekuja kuchukua watoto wao. Jamaa akazimia! -
Dah,ingekua mi ndo hyo dingi ningeenda home FASTA ili tukaribie 10 maana huwezi jua Dingi angu ameleta wengne ili tufike 10 na izo Mil 10 ziende kwetu angalau.