JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524

Mwanaume mmoja huko Texas kamuambukiza mkewe virusi vya Zika kwa njia ya ngono. Hili limegundulika baada ya mkewe kuchukuliwa vipimo na kuthibitika kaambukizwa. Alipoulizwa kama alisafiri nje ya marekani huyu mama akawaeleza wanaomtibu kuwa hajawahi kusafiri katika nchi zilizoathirika..ila mumewe karudi kutoka Venezuela.
Wataalamu wametoa taarifa kuwa kuna uwezekano mkubwa huyu mama kaambukizwa kwa njia ya ngono.
Zika virus infection 'through sex' reported in US - BBC News