Virus na maajabu ndaniya simu

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Wana jamvi kuseme kweli nipo chini ya miguuyenu nikiwaelezea matatizo yangu;;mimi natumia simu aina ya "nokia 2730"simu hiyo imevamiwa na virus ambayo imesababisha uharibifu mkumbwa mno kwani kuna baadhi ya vitu muhimu vimeharibika kamavile"GO TO;WEB SEARCH; vimeharibika kabisa; naombeni msaada wenu wa namna ya kuirekebisha au kuirudisha katika haliyake ya kawaida;; kwani natanguliza shucrani zangu kwenu wakuu.
 

wataalam wa antivirus mpowapi?
 
nenda ktk settin na ujaribu kuifanyia factory reset, inaweza ikarudisha program zake zote ktk default
 

.
Usi msingizie virus wa aina yeyote ile mkuu....
.
Nokia walifanya big mistake kwenye hizo series 40
.
Na hilo tatizo lina wakuta wengi sana kiongozi hata hawa wanaotumia X2, Xpress music et all....
.
Na mala nyingi linawatokeaga wale mabingwa wa kufanya factory reset kila siku....
.
Na tatizo nahisi ni firmware zao hizi series 40 mana Symbian zilikuwa vyema sana ....
Ila firmware ya series 40 haikuwa vyema na wale wa asha 200/201 kama hazikuja na latest upgrade wapo kwenye janga nao...
Ukifungua Web Browser utaona haifunguki kabisa 98% huwa ni mwisho wa simu hata uki flash no psitive results may be jaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…