wadau naomba msaada wenu nimeenda kwenye interview moja nikakutana na swalilikisema ni aina ipi ya virus kwenye compoter aliyesumbua mwaka 2001 lilikuwa multiple choicw question kati option zilikuwa
a)code-red b)c-brain c)odinga
msaada wakuu ili tu kuwa knowledgeable