The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 2,344
- 3,406
Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4 anaibadilisha to
Name.mp4.moia
Kasha encrypt 80% ya files zangu, nafanya biashara ya Movies so mnaweza pata picha files za 8TB ziko encrypted.
Hiyo ni external A external B yenye size 6TB napo nakutana na moia kila movie ninayoiendea...
Ki ufupi nina allmost 40TB zilizokua encrypted sijui nafanyaje ili kuzi decrypt hizi file?
nmejaribu ingia online nimejaribu software tofaut tofaut hasa hii ya decrypt_STOPDjvu ila wapi ina scan mwisho inaniambia
This file has online ID it is impossible to decrypt it..
Akili ime stuck halafu siku za majanga kama haya wateja ndio wanakuja kama mvua, nisaidieni mwenye solution ndugu zangu mniokoe na hili jahazi.
Atakae niokoa na huu msala sitomuacha hivi hivi nitamshukuru kwa kidogo kitakachokuwepo Nisaidieni ndugu zangu sielewi hapa, Ofisi naiona chungu leo.
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
CONTROLA
IT Net Solution
ICT_student_TZ
Na wengine wote naomba msaada wenu wakuu.