virtual private network .VPNs

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,095
Reaction score
816
pleasa experts naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha mobile phone na VPN ili internet isizingue.

username,password.na mengine yanayohitajika.nimejaribu nimeshindwa

natumia sumsung minigallaxy.x
 
Unataka kutumia VPN ili internet isizingue? Vpn mbona ina kaz nyingine?
 
VPN kazi yake ni ku-connect users walio kwenye server moja.
 
umejarb kufanya confgrnt za APN, kwa internet ndo znakubal fresh
 
pleasa experts naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha mobile phone na VPN ili internet isizingue.

username,password.na mengine yanayohitajika.nimejaribu nimeshindwa

natumia sumsung minigallaxy.x

Ilikuweza kutumia L2TP au PPTP katika simu yako inabidi ununue au utafute free VPN provider atakayekupa hizi credentials kwa hii case sikushauri kununua maana kuna free VPN nyingi za L2TP na PPTP
Tembelea hapa Free VPN • 100% Free PPTP and OpenVPN Service kujipatia free user ID ambayo ina expire every 5 days hivo ikiisha inabidi huende kununua nyingine

JInsi ya ku-set PPTP






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…