Mamba vipi wakuu. Kuna mtu ana virtual dj mappers (definifion.xml na mapping.xml) za pioneer DDJ-T1 controller nimejaribu kuidownload kwenye website ya virtual dj (VIRTUAL DJ SOFTWARE - Controllers - DDJ-T1 Mapper) lakini inahitaji mtu mwenye premium account. Please help me