Virtapay

Evmem

Member
Oct 20, 2010
95
12
Virtapay
VirtaPay is developing a private virtual currency and payment processing service to make real-world buying and selling online easier, more secure and available to everyone.
We're designing our service with the help of a dedicated group of
EarlyBird users who are contributing ideas and feedback.
Now working:

· Person-to-Person transactions.
Coming soon:
· payment processing for digitally-delivered goods.
In development:
· Merchant website integration, including payment processing modules for popular shopping cart software.
· Facebook integration features.
· And much, much more...

Why you should join today...
  • You start with $25 in your VirtaPay account and it's free.
  • VirtaPay will add up to $20 per day to your account for participating as we prepare to launch our new service.
  • You get $10 per person you refer to VirtaPay.
  • You'll be an EarlyBird user—before VirtaPay opens to the public.
  • You'll help shape the development of the best virtual currency and payment system ever designed for the Internet.
  • You could have hundreds or thousands of dollars in your account by the time we launch, without ever making a deposit
As an EarlyBird user of VirtaPay, it's your job to...
  • Log in frequently to see where we need your help.
  • Participate. Use our website and test the features. When we post surveys, share your opinion.
  • Subscribe to our blog. Our blog is the primary channel we use to communicate news, updates and information to our EarlyBird members.
  • Be an advocate. You may invite your trusted friends and family to join VirtaPay.
JOIN NOW ON BELOW WEB
http://www.virtapay.com/r/dockie
 
Haulipi chochote so you've nothing to loose, fungua that website na usome then you decide :biggrin1:
 
Are you looking for a service through which you can accept payments from your customers in your stores? In this case, I would highly recommend that you try to draw your attention to this site, where you can find credit card machine. A very convenient service, the same as accepting payments from customers. In short, I recommend trying it.
 
TUJIFUNZE KIDOGO KUHUSU HIZI LINKS NA EMAILS

Kwanza naomba nianze na maana ya hizi htpp:// na htpps://

htpp:// hii ambayo haina (s) mwishoni yaani http: hiyo hufahamika kama (hypertext tansfer protocol, hiyo kitaalamu Ni search engine inayotumika kutafuta au kukupeleka kwenye website fulani Sasa Ukiona umetumiwa link na imeanza na http: bila (s) mwishoni basi ujue hiyo sio salama

Hiyo (s) inakazi yake kubwa sana ambayo ni ulinzi wa taarifa kwa anaye bofya link

https: maana yake ni (hypertext transfer protocol secure).....hapo utaona hiyo (s) kazi yake ni (secure) yaani ulinzi

Sasa links zote ambazo zina (http:) na siyo (https:) hizo zina viruses kwa lengo baya kwako

Hizi Links huwa zinatengenezwa kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ikiwa ni kudukua (ku-hack) taarifa za watu

Na kwakuwa watu wanapenda vitu vya bure na rahisi basi huwa wanaandika utapewa zawadi pale utakapowatumia watu hiyo link

Sasa ukibonyeza hiyo link unaweza ukaambiwa weka namba zako za simu au email yako

Ukiweka hizo taarifa zako basi wao wanaweza kuchukua taarifa zako na kuweza kufuatilia mawasiliano yako au kukuibia pesa zako kwenye account zako zakifedha

Na Kama ulitumiwa link yenye (htpp:) kwenye Facebook au Instagram au mtandao mwingine wakijamii na ukabofya hiyo link maana yake HIYO ACCOUNT YAKO TAYARI WAMEISHIKILIA NA WAKATI WOWOTE WAKIAMUA WANAWEZA KUICHUKUA AU KUTUMA KITU CHOCHOTE KWENYE ACCOUNT YAKO

MUHIMU

Email za kweli inapoandikwa, huwa likitoka jina la kampuni ndio linafuata neno kama vile (@gmail.co)

Mfano Ukiona imeaandikwa (Coca-Cola@gmail.com) basi hiyo link ni ya Coca-Cola, lakini ukiona imeandikwa (Coca-Cola.money@gmail.com) hiyo email ni ya uongo, hivyo email ya kweli ni lazima ianze jina la kampuni au jina la mtu ndipo ifuate ile (gmail.com) Ukiona umeandikiwa jina la kampuni halafu yakafuata maneno mengine, halafu ndio (gmail.com), basi tambua huo ni wizi, mfano hata link ikiwa hivi (www.amazon.com), hiyo ni sahihi kwasababu Amazon ndio kampuni na ndio wamiliki wa link website hiyo hivyo kivyovyote vile taarifa zako ziko salama lakini ukiona (www.amazon.wd.com) hiyo sio yakweli maana tayari kuna vitu vimeongezewa hapo mbele

Kampuni zote zinafahamu wateja wake zikitaka kutoa offer basi zitawafuata kupitia taratibu zao na sio kutuma links zenye viruses

ASANTENI NAAMINI TUMEJIFUNZA KITU
 
Back
Top Bottom