Hivo vidude mi nnacho kimoja,lakini ni kwa ajili ya mambo yangu ya shamba,lakini ukimpa mtu akuletee hesabu basi kitabebeshwa hadi tani 1. wakati hiko kidedu mwisho kilo 350 ukizidisha 400.