Virgin Castro and avocado oil

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
5,042
Reaction score
9,652
Karibuni Castro oil Kwa tsh 12000 na virgin avocado oil Kwa tsh 12000

Sabuni za avocado na Sabuni za Castro Kwa tsh 2500

Call 0714547830 Ubungo
Delivery ipo unachangia nauli

invest what you are willing to lose
 
Ndo kwaajili ya matumizi gani [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapaka kwenye nywele na hata kwenye ngozi

Inalainisha ngozi, Kwa wenye magonjwa ya ngozi husaidia kurudisha ngozi katika hali ya kawaida,
Kwa nywele hurefusha nywele na kujaza, hiyo olive Kwa wale wenye nywele zilizojishindilia huwasaidia kuchambua nywele

invest what you are willing to lose
 
sh. ngapi? na upo wapi nifuate mwenyewe?
Tsh 12000, nipo Ubungo
Ukifika mitaa ya stend ya mwendo kasi nipigie

Ila kabla hujaanza safar nitaarifu
0714547830

invest what you are willing to lose
 
Karibuni Castro oil Kwa tsh 12000 na virgin avocado oil Kwa tsh 12000

Sabuni za avocado na Sabuni za Castro Kwa tsh 2500

Call 0714547830 Ubungo
Delivery ipo unachangia nauli

invest what you are willing to lose
Karibuni Castro oil Kwa tsh 12000 na virgin avocado oil Kwa tsh 12000

Sabuni za avocado na Sabuni za Castro Kwa tsh 2500

Call 0714547830 Ubungo
Delivery ipo unachangia nauli

invest what you are willing to lose
Sio Castro ni Castor oil ndugu, mafuta ya mnyonyo (Ricinus commmunis), mazuri sana hayo hata kwa kulainisha choo, pia hutumika kama moja ya ingredient za artificial colostrum.
 
Sio Castro ni Castor oil ndugu, mafuta ya mnyonyo (Ricinus commmunis), mazuri sana hayo hata kwa kulainisha choo, pia hutumika kama moja ya ingredient za artificial colostrum.
Asante sana

invest what you are willing to lose
 
Hongera kwa kuanzisha kiwanda
Jaribu kutengeneza packaging yenye mvuto hasa hizo box za sabuni kama unaelewa nilichoshauri ufanyie kazi otherwise SONGA MBELE
NO SWEET WITHOUT SWEAT!
 
Hongera kwa kuanzisha kiwanda
Jaribu kutengeneza packaging yenye mvuto hasa hizo box za sabuni kama unaelewa nilichoshauri ufanyie kazi otherwise SONGA MBELE
NO SWEET WITHOUT SWEAT!
Shukrani mkuu, najitahidi sana, au kama una sample naomba niangalie designs

invest what you are willing to lose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…