Vipindi vya Star Tv kuelekea uchaguzi

Vipindi vya Star Tv kuelekea uchaguzi

Star tv ni ya anthon diharo kada wa ccm hampendi lowassa anatamani asitajwe kwenye tv yake
 
kama ni kweli ni habr nzuri bado tuna imani na ukawa siwezi piga kura yangu ccm hata iweje , nimeshatokea kukichukia chama hiki nasema tena kura yangu ni ukawa tuuuuuuuuuuuu
 
hivi watangazaji na waandishi wa starTv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia vpind vya siku nzima week yote hii haina tofauti na tbc program zao.. asubuhi vipi mara miradi ya barabara chamwino...mara kilimo...sijaona television iliyobuni umuhimu wa kuelimisha kupga kura kwa vijana na wananchi wengine...

cjui mnaonaje wadau

walikua na kipindi kizur cha agenda 2015 naona ghafla wamekifuta....kwenye uchaguzi Azam hawana mpinzani
 
hivi watangazaji na waandishi wa starTv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia vpind vya siku nzima week yote hii haina tofauti na tbc program zao.. asubuhi vipi mara miradi ya barabara chamwino...mara kilimo...sijaona television iliyobuni umuhimu wa kuelimisha kupga kura kwa vijana na wananchi wengine...

cjui mnaonaje wadau

Wajanja wapo Azam Two na ITV
 
Ila ITV kwakuwa iko biased na kuipendelea ukawa hamuoni tatizo. Mtaumia Sana huu mwaka
 
Back
Top Bottom