Vipindi vya Star Tv kuelekea uchaguzi

Vipindi vya Star Tv kuelekea uchaguzi

Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
413
Reaction score
336
hivi watangazaji na waandishi wa starTv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia vpind vya siku nzima week yote hii haina tofauti na tbc program zao.. asubuhi vipi mara miradi ya barabara chamwino...mara kilimo...sijaona television iliyobuni umuhimu wa kuelimisha kupga kura kwa vijana na wananchi wengine...

cjui mnaonaje wadau
 
Washanunuliwa kama Lipumba,Ccm watafilisika jamani nawaonea huruma sana
 
mimi naona watangazaji siyo kosa lao kwani wanatimiza matakwa ya boss wao, kwa sasa wako remoted juu ya nini watangaze.
 
kabisa startv nao tutawatosa kama tbc hawana lolote ndo maana hata taarifa zao za habari ciangalii wako bias sana
 
Baba wawili waache wafanye wafanyavyo sisi tumekwisha amua tunataka mabadiliko na tutayapata kupitia ukawa...kupitia Mheshimiwa Lowassa
hivi watangazaji na waandishi wa starTv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia vpind vya siku nzima week yote hii haina tofauti na tbc program zao.. asubuhi vipi mara miradi ya barabara chamwino...mara kilimo...sijaona television iliyobuni umuhimu wa kuelimisha kupga kura kwa vijana na wananchi wengine...

cjui mnaonaje wadau
 
Star TV imeshanunuliwa siku nyingi kufanya propaganda za CCM, haina tofauti na TBC-CCM
 
Star TV imeshanunuliwa siku nyingi kufanya propaganda za CCM, haina tofauti na TBC-CCM

Jamani hii Sahara media mmiliki wake ni kada tena m/kiti wa mkoa wa CCM mwz ,Hawezi kunadi kinyume chake. Mimi Naona UKAWA twende na walio fair kwetu. BAASI
 
Huwa naangalia kipindi cha jumamosi asubuhi tu
 
nawashauri wapenda haki tuangalie ITV tuu ukibadili weka BBC, DW au idhaa nyingine za nje, hv vijitv vingne michosho
 
hivi watangazaji na waandishi wa startv au sahara..media.je wanafanya haya ya kuyaelezea ya ccm tu na magufuli ni maelekezo ya tajiri wao au kupenda kwao waandishi.....yaani nimekuwa nafuatilia vpind vya siku nzima week yote hii haina tofauti na tbc program zao.. Asubuhi vipi mara miradi ya barabara chamwino...mara kilimo...sijaona television iliyobuni umuhimu wa kuelimisha kupga kura kwa vijana na wananchi wengine...

Cjui mnaonaje wadau

aliselema alija
 
Back
Top Bottom