Vipimo vya malaria vilivyoidhinishwa na Wizara ya Afya ni hatari kwa uhai wa watanzania

Miradi ya watu hiyo unataka wafe njaa
 
MRDT inafanya kazi vizuriiiii tu sema pia watu wengi wanapenda saana malaria mbili mpaka 4 ukweli ni kwamba pia kwenye darubin Kuna changamoto zake mpaka upate mtu ambae ni every very competent kweny upimaji

Hao very very competent ndio wanahitajika.
 
Mkuu Ulaya no suala la hali ya hewa.
Malaria huaumbua maeneo ya joto hasa ukanda wa kitropiki.
 
Nilienda kupima malaria nikakutwa sina malaria, jamaa akawa ananishauri nipime UTI nikamwambia asante nitakuja wakati mwengine. Nikarudi zangu nyumbani nikaongeza nikawa nakunywa maji mengi maisha yakaendelea.
 
Ukiwa unatabia na mazoea ya kunywa maji kwa wingi usiku na mchana Malaria utaisikia kwa wenzako tuu,nina Mwaka wa ishirini sasa no Malaria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…