Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Yap.
Mie huwa nikiwa na mwanaume, huwa namshika ngozi yake kwanza.
Nikiona inavutika....nasepa
Yap.
Mie huwa nikiwa na mwanaume, huwa namshika ngozi yake kwanza.
Nikiona inavutika....nasepa
Dalili nyingine wanasupport sana juhudi za jiwe kukandamiza demokrasia
sijaona sehemu ya kumgundua mwathirika wa UKIMWI ila naona namna ya kugundua mtumiaji wa arv
wengine tunatoa jasho la arv baada ya kula mboga na wanyama/ndege walionenepeshwa kwa arv
mtatunyanyapaaa buree wakuu
hahahahahaKwahiyo Unamuomba Jasho lake Unuse ndo Uombe tunda?
Hahaaaahaa if that the case mtanusa sana, guys the only way ni kuhakikisha uko safe..haijalishi una ukimwi au hauna..kama unao kua makini usipate maambukizi mapya..kama hauna unaweza kua next kwaiyo hakikisha play safe jamani ukimwi upo, umejaa tele alafu ukimwi wa sasa sio kama ule wa zamani...watu wanadamshi kama yote wana afya kuliko hata wazimaPamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Msaada wadau Nisha pima Sana nifanye niniWaungwana, Nina mwaka sasa Napa maumivu ya kiuno,tumbo hasa upande wa kushoto Kama unaugua moto na maumivu ya kifua,uchovu,mwili kuchomachoma Kama sindano za sumu wakati mwingine kukohoa.kwasababu ya histori mbaya niliyo nayo ya kujamiana na mwenye HIV nimekuwa nikiamini Nina HIV, lakina Nina mwaka na nusu huwa napima sina! Je, naweza kukaa muda gani vipimo vya kawaida kuonesha Nina HIV au Kuna wengine huwa havioneshi kabisa?
1. Homa za mara kwa mara, moja ya dalili za mwanzo kabisa zinazoashiria kuwepo wa virusi vya ukimwi ni pamoja na kupanda kwa joto la mwili hadi nyuzijoto 38 hadi 39 ambapo joto hili nalo hupanda mara kwa mara.Waungwana, Nina mwaka sasa Napa maumivu ya kiuno,tumbo hasa upande wa kushoto Kama unaugua moto na maumivu ya kifua,uchovu,mwili kuchomachoma Kama sindano za sumu wakati mwingine kukohoa.kwasababu ya histori mbaya niliyo nayo ya kujamiana na mwenye HIV nimekuwa nikiamini Nina HIV, lakina Nina mwaka na nusu huwa napima sina! Je, naweza kukaa muda gani vipimo vya kawaida kuonesha Nina HIV au Kuna wengine huwa havioneshi kabisa?
Kama hujapima TB kapimeMsaada wadau Nisha pima Sana nifanye nini